#LIVE RAIS SAMIA AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wateule wa nchi tano, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mabalozi hao ni:-
1. Mhe. MARTIN KLEPETKO, Balozi Mteule wa Jamhuri ya CZECH nchini.

2. Mhe. MARIA ALEJANDRA, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Chile nchini.

3. Mhe. PAVEL VZIANTKIN, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Belarus nchini.

4. Mhe. LUKE JOSEPH WILLIAMS, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Australia nchini.

5. Mhe. MONICA GREIFF LINDO, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Colombia nchini.

No comments