YANGA WAINGIA MKATABA NA AZAM MEDIA, KWA BILIONI 41

Rasmi leo klabu ya Yanga wameingia makubaliano ya mkataba na Azam Media ya mashirikiano ya maudhui wenye thamani ya Shilingi bilioni 41 pamoja na VAT kwa kipindi cha miaka 10.

Makubaliano hayo yametiwa sahihi na Tido Mhando ambaye ni Afisa mtendaji mkuu wa Azam Media pamoja na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msolla.

No comments