Mchezaji wa klabu ya Tottenham, Serge Aurier na nyota wengine wa Ivory Coast wameshiriki kwenye mechi ya mpira wa miguu mtaani kwenye uwanja unaofahamika kama "El Maracan" huko Abidjan.
Wamesema dhamira ya kufanya hivyo, ni kuwapa nguvu vijana wanachupukia kwenye mpira.
Post a Comment