WAHAMIAJI UBELGIJI WAGOMA KULA
Wahamiaji hao wanashiriki katika mgomo huo, wakidai kunyanyaswa.
Wengine wanashona midomo yao pamoja ili kupinga kwa sababu hawana hati, hawana huduma sahihi ya afya n faida zingine ambazo wakazi wa Ubelgiji wanapata.
Wanasema hawajakula tangu Mei 23.
Haha.waache watakufa
ReplyDelete😅😅
DeleteLakini nchi za nje kuna ubanguzi sana.kwan Lissu si ndio alikuwa uko.mbonq walimjari au ndio mambo ya connection na kutaka kuja kututawala��
ReplyDeleteATARI AISEEE
Delete