Wahamiaji wasio na hati nchini Ubelgiji wako kwenye mgomo wa kula.

Wahamiaji hao wanashiriki katika mgomo huo, wakidai kunyanyaswa.

Wengine wanashona midomo yao pamoja ili kupinga kwa sababu hawana hati, hawana huduma sahihi ya afya n faida zingine ambazo wakazi wa Ubelgiji wanapata. 

Wanasema hawajakula tangu Mei 23.