SHEHENA YA CHANJO YA UVIKO-19 YAWASILI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) (katikati) akiwa na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima (Mb) (kushoto) na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald Wright wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kupokea shehena ya chanjo ya UVIKO 19.

No comments