MUNGU WA DUNIA

Tarehe Tajwa hapo kwenye picha papa Mmoja aitwaye Pius aliushangaza ulimwengu baada ya kusema kwa kufuru kuwa yeye ni Baba Mtakatifu mwakilishi Wa Mungu Ulimwenguni hvyo yeye ni Mungu hapa Duniani.

Majina ya mapapa kama Kuhani, Mwakilishi, Daraja, Baba Mtakatifu ni majina ya Mungu ndiyo maana Wa Protestants wote walitambua hii mamlaka kama ile ya Mpinga Kristo. 

Wewe ushawah kusikia wapi Mungu anaumwa??? Labda kama ni mungu Wa dunia hii ambaye Yesu alimtaja akimaanisha Shetani. 

Upapa ndio mamlaka pekee inayotoa Amri ya kusamehe dhambi, kubadili Amri za Mungu, kurekebisha kweli za Biblia nk. 

Paulo husema — 2 Wathesalonike 2:4 yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.

No comments