• HOME
  • BREAKING NEWS
  • TAMTHILIA
  • MICHEZO
  • MATANGAZO
  • CONTACT US

BINAGO BLOG

  • Home
  • Home / MICHEZO / MTIBWA SUGAR YAPANIA KUTEMBEZA DOZI

    MTIBWA SUGAR YAPANIA KUTEMBEZA DOZI

    Bisaya Raphael July 13, 2021 MICHEZO

    Uongozi wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kwamba utatembeza dozi kwenye mechi zilizobaki ili kupata pointi zitakazowapa nafasi ya kubaki ndani ya ligi.

    Ikiwa imecheza jumla ya mechi 32 na pointi zake ni 38 haina uhakika wa kubaki kwenye ligi ikiwa itapoteza mechi zake zote mbili kwa kuwa pointi hizo zinaweza kufikiwa na Ihefu yenye pointi 35 ikiwa ipo nafasi ya 15.

    Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa ila watapambana kutembeza dozi ili wapate ushindi.

    “Mechi ambazo zimebaki tutapambana kupata ushindi kwa kutembeza dozi, inawezekana na kila timu inahitaji kufanya vizuri hivyo ni suala la kusubiri pale tutakapokuwa uwanjani, mashabiki watupe sapoti.

    "Mbinu ambazo wachezaji wanapata pamoja na utayari wao wa kufanya vizuri ni jambo ambalo linaongeza nguvu kwa wachezaji kupambana ili kupata matokeo chanya," .

    Mchezo wao ujao wa Mtibwa Sugar ni dhidi ya Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 9 na pointi 42 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma itakuwa Julai 15.

    Related Posts

    MICHEZO

    Post a Comment

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    KWA SHEREHE NA SEMINA KARIBU UKUMBI WA LAKE TANGANYIKA, NZEGA-TABORA

    FOOTBALL STORIES

    Follow us

    • Like on Facebook
    • Follow on Twitter
    • Follow on Instagram
    • Subscribe on Youtube

    Popular Posts

    • kusuka na unyoaji katika Biblia
      kusuka na unyoaji katika Biblia
       KAMA MUNGU ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAWAKE ! NDIVYO ALIVYOKWISHA KUWAONYA WANAUME PIA. BWANA YESU asifiwe!😅 Maranatha!😅🙏🏻 N...
    • Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      Je kutoa Mahari ni sawa ktk biblia?
      *https://youtu.be/-P4s8sVq31o* 🤔🤔🤔🤔🤔 *JE NI HALALI KWA MKRISTO KULIPA MAHARI ILI AOE?????* 🤔🤔🤔🤔🤔 . . . Hebu tutazame k...
    • HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      HII NDIO MISINGI YA KANISA LA WASABATO DUNIANI
      KANISA LA #SDA LINA MISINGI 28 AMBAYO NI 1.Neno la Mungu 2.Utatu mtakatifu 3.Mungu baba 4.Mungu mwana 5.Roho mtakatifu 6.Uumbaji...

    Labels

    Habari MICHEZO Live injili Tamthilia Kesha la Asubuhi BREAKING NEWS magazeti Matangazo Covid19 Mastaa Viongozi today's quote Lesoni leo Wimbo wa Leo barikiwa Je Wajua? KULFI Bongo Movies Stories TETESI ZA USAJILI

    Facebook

    Created By SoraTemplates | Distributed By Gooyaabi Templates