Mmoja ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Zacharia Hans Pope amemtolea uvivu Afisa Habari wa Simba Haji Manara.
"Anachokifanya Manara na anajua tuna mechi ya derby ni kama hujuma” - Hans Pope
“Analalamika analipwa mshahara laki saba mbona hasemi kuna Mkataba wa Sh Milioni 4 hataki kuusaini hadi leo? Anajua utamfunga na atakuwa hawatumikii hao GSM” - HANS POPPE

0 Comments