Tumewaletea matangazo ya moja kwa moja ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ajazindua chanjo ya UVIKO 19 katika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment