BALOTELI AJIUNGA NA TIMU YA ADANA

Habari ya hivi punde kutoka Uturuki ni uhamisho wa mshambuliaji mtukutu Mario Balotelli ambaye amejiunga na klabu ya Adana Demispror inayoshiriki Ligi kuu ya Uturuki huko anapowasha moto Mbwana Samatta.

Balotelli amesaini mkataba wa miaka 3 akiwa chini ya Wakala wake Taikuni Mino Raiola.

Baloteli amewahi kuchezea vilabu vifuatavyo;- Inter Milan, Manchester City, AC Milan, Nice, Marseille, Brescia, Monza, na Adana Demispor.

No comments