AZAM FC WAMSAJIRI CHARLES ZULU

Klabu ya @azamfcofficial imefanikiwa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Charles Zulu, kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Cape Town City ya Afrika Kusini.

Wamemsajiri baada ya kufikia makubaliano na Cape Town City, aliyokuwa akiichezea.

Zulu ambaye wakala wake ni Nir Karin, ataanza kuitumikia Azam FC msimu ujao 2021/22, ambapo kabla ya kutua Afrika Kusini alikuwa akikipiga kwa vigogo wa Zambia, Zanaco FC.

No comments