WIZARA YAPANGA MIAKA 5 YA KUENDELEZA MTI WA MNINGA
"Wizara kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imeandaa Mpango wa miaka mitano wa kuendeleza mti wa Mninga na miti mingine kibiashara kwa kuipanda kama ilivyo miti ya kigeni."
"Mpango huo unahusisha aina 56bza miti ya asili ikiwemo Mninga ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambapo Wizara imetenga shilingi 60,000,000 = kwa ajili ya kuzalisha mbegu za miti hiyo."
-----> Naibu Waziri wa Maliasiri na Utalii, Mhe. Mary Masanja akiwa Bungeni leo.
Post a Comment