Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga na Naibu Katibu Mkuu Bw. Mohammed Khamis Abdulla wametembelea maonesho ya Wiki ya Mazingira yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.
Post a Comment