WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
Watanzania wenye nia ya kusoma elimu ya juu nchini China washauriwa kuchangamkia fursa za Ufadhili zinazotolewa na China Scholarship Council (CSC) kupitia Mfuko Mahususi wa China-Africa Friendship Scholarships.
Rai hiyo imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa CSC Bi. TIAN Lulu Bi. Tian amemueleza Balozi Mbelwa Kairuki kwamba fursa hizo zinatangazwa kupitia tovuti ya m.cuecc.com pamoja na tovuti za vyuo mbalimbali.
Aidha, taarifa zaidi zinaweza kupatikana katika Ubalozi wa China jijini Dar es salaam na Ubalozi Mdogo wa China uliopo Zanzibar.
#BinagoUPDATES
Post a Comment