MATILDA SWILLA CHUO KIKUU CHA BEAKSEOK
Balozi Matilda Swilla Masuka kwenye picha ya pamoja na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Beakseok na baadhi ya Wanafunzi kutoka Tanzania wanaosoma katika chuo hicho baada ya Kikao kazi na Uongozi wa Chuo.
Pamoja na mambo mengi yaliyojadiliwa, Uongozi wa Chuo umeahidi kudumisha mahusiano baina yake na Tanzania ikiwa ni pamoja na kutoa nafasi za ufadhili wa masomo kwa vijana wa Kitanzania.
Pia Uongozi wa Chuo hicho umeahidi kuboresha Programu zake kwa Wanafunzi wa kigeni ili kukidhi viwango vya Kimataifa.
Post a Comment