WALIOFARIKI AJALINI WAFIKIA 9 MOROGORO
Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya barabarani mkoani Morogoro imefikia tisa kutoka saba, walioripotiwa na Kamanda wa Polisi wa mkoa huo Fortunatus Muslim.
Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo ikihusisha magari matatu, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo ni uzembe wa dereva wa Coaster aliyetaka kupita magari yaliyo mbele bila kuchukua tahadhari.

Post a Comment