WAJADILI UTEKELEZAJI WA KKK
Ushawahi kuskia kuhusu KKK yaan Kusoma Kuhesabu na kuandika? Ushawahi kumuwaza mwalimu ambaye anampoeka mtoto akiwa hajui chochote na anaanza kumfundisha mpaka anajua kuandika vizuri kuhesabu na kusoma kama wewe unayesoma ujumbe huu?
Naibu Katibu Mkuu Elimu Prof. Carolyne Nombo, Mkurugenzi wa Elimu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Ephraim Simbeye, Maafisa Elimu Mikoa na Wilaya Nchini wamekutana kujadili hali halisi ya utekelezaji wa ufundishaji wa KKK ( Kusoma, Kuandika na Kuhesabu).
Namna gani bora walimu wetu wataimaimarisha ufundishaji katika eneo hili ili kila mtoto anayeanza shule aweze kusoma, kuandika na kuhesabu.
Pia Wataalamu hao wa Elimu wamejadili taarifa ya vituo Shikizi sambamba na kutathmini Taarifa ya Mitihani kuhusu upimaji wa darasa II uliofanyika 2020 kupiitia Baraza la Mitihani Tanzania

Post a Comment