TB JOSHUA AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa televisheni maarufu na nabii, Temitope Balogun Joshua aka T.B. Joshua, amefariki dunia.

Kulingana na ripoti, mwanzilishi wa The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN), T.B. Joshua, amefariki huko Lagos Jumamosi jioni muda mfupi baada ya kumaliza Ibada kanisani kwake, Alikuwa na miaka 57.

Chanzo cha kifo chake bado hakijawekwa wazi, lakini vyanzo vya familia vilisema mwili wake bado upo Mochwari kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

#RIPTBJOSHUA

No comments