Real Madrid yathibitisha kuondoka kwa Nahodha wa Muda mrefu wa klabu hiyo Sergio Ramos baada ya mkataba wake kumalizika.
Ramos anaondoka Real akiwa amecheza mechi 469 huku akiwa ameifungia Mabao 72.
Katika miaka 16 ambayo Ramos ameitumikia Los Merengues Mataji matano ya Laliga,manne ya Uefa champions league,manne ya fifa club world cup,manne ya super coppa,mawili ya cope del rey na matatu ya uefa super cup.
Ramos anavumishwa kuwa kwenye mpango wa kujiunga na PSG,
0 Comments