Advertisement

Responsive Advertisement

BW. MERICK LUVINGA AKABIDHIWA CHETI

Katika kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma, Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amemkabidhi Cheti Cha Utumishi Bora Mkurugenzi wa Kitengo Cha Sheria Bw. Merick Luvinga Kwenye Banda lililopo ofisi za Wizara jengo la NHIF.

Dkt. Gwajima amesema Wizara imempatia Cheti hicho kilichosainiwa na yeye pamoja na Katibu Mkuu Prof. Abel Makubi ikiwa ni kutambua kazi nzuri anayofanya wizarani pamoja na Taasisi zingine kwani wameshapokea barua mbalimbali kutoka Wizara na Taasisi nyingine ambazo amekua akifanya nao kazi za kumpongeza Mkurugenzi Huduma za Sheria Bw. Luvinga.

Post a Comment

0 Comments