Advertisement

Responsive Advertisement

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima, Jana amezindua maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika ofisi ndogo za Wizara zilizopo Jijini Dodoma katika jengo la NHIF. Katika kuadhimisha maadhimisho haya, Dkt.Gwajima, kesho atasikiliza kero na malalamiko ya watumishi wa Wizara kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara Ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba.

Kauli mbiu ya maadhimisho haya mwaka huu ni "Kujenga Afrika tunayoitaka, kupitia utamaduni wa uadilifu ambao unastawisha uongozi wenye maono hata Katika mazingira ya mgogoro.

Post a Comment

0 Comments