SALAMBA; AZAM WAZIMA TETESI ZA DUBE

DOMINICK SALAMBA;Yess..... kumbuka kuna nafasi 4 za kucheza mashindano ya kimataifa msimu ujao. 

Azam walichokifanya kwa kumsainisha mkataba mpya wa miaka 2 mwamba "DUBE" si kutaka KUANZA upya bali ni kuboresha zaidi (anaamini wataongeza mtu kusaidizana naye dirisha la usajili). 

Dube amekuwa msaada mkubwa kwa wanalambalamba hao tangu atue hapo kwa magoli yake 17 msimu huu, anafunga, pia anauwezo wa kuassist,,, in short beki huwezi pumua mbele ya Dube (one mistake, atakuweka).

No comments