SAFARI ZA KENYA KWENDA SOMALIA ZARUHUSIWA
Serikali Nchini Kenya imefungua tena mipaka yake iliyokuwa imefungwa kuzuia ndege zake kuingia Somalia
Wizara ya Mambo ya nje, katika taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, imesema uamuzi huo ulifanywa kama ishara ya nia njema tu ya kukuza uhusiano wa pande mbili kati ya nchi hizo mbili.
"Serikali ya Kenya imezingatia maoni yaliyotolewa na viongozi mbalimbali na imeamua kufungua tena mipaka kwa ndege zote zinazotokea Somalia na kutoka Kenya hadi Somalia.
Post a Comment