RAPHAEL NADAL ATANGAZA KUJIONDOA OLIMPIKI ZA TOKYO

Bingwa wa mara 20 wa Grand Slam Rafael Nadal Alhamisi alitangaza kujiondoa kwake Wimbledon na Olimpiki za Tokyo "baada ya kuona nini mwili wake unataka"

"Nimeamua kutoshiriki kwenye Mashindano ya mwaka huu huko Wimbledon na Michezo ya Olimpiki huko Tokyo. Sio uamuzi rahisi kuchukua lakini baada ya kuona mwili wangu haupo sawa na kuujadili na timu yangu ninaelewa kuwa ni uamuzi sahihi , ”Nadal alichapisha kwenye akaunti yake ya Twitter.⁠

No comments