MWINYI AWATEMBELEA MAJERUHI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea majeruhi wa ajali ya basi iliyohusisha wanafunzi wa Chuo cha Bugema Uganda katika Hospitali ya Rufaa Muhimbili ambapo basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kusababisha vifo vya watu 4 na majeruhi 26 iliyotokea Mkoa wa Shinyanga.
Post a Comment