Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amekutana na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga na Naibu Katibu Mkuu Bw. Mohammed Khamis Abdulla, alipokutana nao Ofisini kwake Ikulu Chamwino Jijini Dodoma jana Juni 01,2021.
Post a Comment