KESI YA MDUDE YAAHIRISHWA

Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya, imeahirisha hukumu ya kesi inayomkabili mwanaharakati wa Chadema, Mdude Nyagali hadi June 28 mwaka huu. 

Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Zawadi Laizer amesema amelazimika kuahirisha kusoma hukumu ya kesi hiyo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake. 

Pichani ni Mdude na Mwenyekiti Freeman Mbowe wakiteta jambo mahakamani wakati wakisubiri hukumu kusomwa.!

No comments