DAVIDO KUFANYA LIVE CONCERT

JUNE 18 SAA NNE USIKU -Mwanamuziki @davido atafanya Live Concert inayoitwa GLOBAL UNITY CONCERT ambayo imeandaliwa na Ma Promota Mbali mbali Duniani wakiwemo Watanzania.

Concert itakua Live Moja Kwa Moja kutoka Nigeria Bila Watazamaji Uwanjani Lakini watu wote Duniani watapata nafasi ya Kuiangalia Live.

Kununua Ticket ya kuangalia ingia WWW.SHRUCOIN.COM/CONCERT kwa gharama ya $5 Tanzania Shs 10,000 tu. 

Unawezalipa Kwa Mpesa au Credi Card,Baada ya Davido Kuna Show Zingine Nyingi Zitafuata zikiwemo za Wasanii Watanzania.

No comments