KAZI KUBWA YA MSANII NI KUWASILISHA MAWAZO
kiwa Msanii Kazi Yako Kubwa Kitaalamu Ni Kuwasirisha Mawazo Yaliyomo Katika Fikra Za Binadamu, Hii Ndio Tafsiri Ya Kisomi Sio Ya Mtaani, Kutibu Majeraha Ya Walaji, Kuponya Nyoyo Zao, Kufundisha, Kukosoa, Kukalipia Kupongeza Kuelimisha Na Kuburudisha, Msanii Ukiona Sanaa Na Usanii Wako Hautendi Kazi Hizo Tajwa Hapo Juu Ujue Wewe Ni Makapi, Wasanii Ni Kama Wachungaji Au Mapadre Ambao Kiroho Wao Ndio Macho Na Daraja La Kanisa Hapa Duniani Ambao Kazi Yao Ni Kuwaunganisha Waumini Na Mungu Kupitia Neno La Mungu
Na Wasanii Ni Macho Na Masikio Ya Jamii, Wito Wangu Kwenu Oneni Na Msikie Yote Msichague Mambo Ya Kuona Na Kusikia Mtakosa Mambo Ya Kusema Kama Ilivyo Leo Asomae Na Afahamu
Nimekuwa Kwenye Tafakari Kubwa Sana Juu Yako Broo @mdudechadema Mimi Naamini Kama Mahakama Itatenda Haki Sina Mashaka Utakuwa Huru Na Kuungana Na Familia Yako, Watanzania Wengi Timamu Wanaamini Hauna Hatia Karibu Uraiani Kamanda Mdude, Taifa Linahitaji Vijana Kama Wewe Ambao Kwao Vidonge Vya Ndio Kwenye Kila Jambo Ni Mwiko, Mungu Akutendee Muujiza Broo 🙏

Post a Comment