JAFO ALIVYOMPONGEZA MWIGULU NCHEMBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo akijumuika na mawaziri wengine kumpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba mara baada ya kuwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2021/2022 bungeni jijini Dodoma Jana Juni 10, 2021.

No comments