Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha
kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na
baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma zinazowakabili na kuwaagiza TAKUKURU kufanyia uchunguzi tuhuma hizo.
Post a Comment