Turudi kwenye malezi yenye maadili maalum, kwenye mabasi ya mwendokasi kuna viti vya Wazee na Wajawazito ila inashangaza kukuta Vijana wapo kwenye kiti Wazee wamesimama, pia niwaombe Makonda wahakikishe Mzee amepata kiti amekaa na amwambie Kijana mpishe Mzee” Rais SSH
Post a Comment