SSH: TUNA MFUKO WA TASAF
“Nakubaliana nanyi kuhusu kuwawezesha kiuchumi ila tuna Mfuko wa TASAF na tutakwenda kwenye Wilaya zote na kuhakikisha kila Mzee mwenye sifa anapata nafasi, jambo la kutoa pensheni kwa kila Mzee tulipiga hesabu tukaona ni gumu kutokana na uchumi
Kuhusu kuwapa pensheni Wazee wote wakulima, mvuvi n.k, tulipiga hesabu tukaona ni ngumu na kwa hali ilivyo sasa tumeingia uchumi wa kati ila janga la Corona limetushusha kiuchumi Tanzania, sitaki kuwadanganya Wazee wangu naomba mnipe muda niangalie uchumi unavyokua” Rais SSH

Post a Comment