PARTEY KWENYE RADA ZA BARCELONA
Thomas Teye Partey, mchezaji wa kati wa Ghana, anafuatiliwa na klabu kubwa ya Hispania, FC Barcelona, kama mbadala wa Frankie De Jong.
Mkataba wa kiungo huyu na Arsenal unakaribia kumalizika, na atakuwa huru kuzungumza na klabu nyingine ikiwa hautaongezwa.
Kwa matangazo wasiliana nasi kupitia 0629567302
Post a Comment