MWAKA TASA KWA MSHAMBULIAJI JACK GREALISH


 Mshambuliaji Jack Grealish kutokea club ya Manchester City amekuwa na mwaka mgumu wakutokufunga goli lolote katika mechi zote alizocheza mwaka 2024.


Jack Grealish amecheza mechi 18 za EPL, UEFA champions league na EFL Cup katika msimu huu wa 24/25 na hajaweza kuuweka mpira kambani.


Kwa taarifa mbali mbali za michezo tembelea Binago Blog ili uwe wa kwanza kupata taarifa.

No comments