SHAFFIH DAUDA NA BALL BOY
Unamwona Ball boy? Mtazame mzuri sana Kijana huyo Mdogo, kazi aliyopewa ni kuokota mipira ila asingeweza kuficha mahaba yake kwa timu yake
Slide ya kwanza alishangilia na John Bocco, akifurahishwa na namna bao limefungwa na slide ya pili kwa kutambua majukumu yake kajitenga kimwili ila kiroho yupo na Simba
Mnaweza nipa nafasi niwape research nyepesi kidogo?
Itazame Chelsea, itazame Manchester City, Azam, Mamelodi Sundowns, Atletico Madrid na Borussia Dortmund, nawapa kama mifano midogo ya klabu zilizovuna Mashabiki kwenye ligi zao ngumu sana
Ukiitazama Chelsea imejipatia Mashabiki mbele ya Liverpool, Arsenal na Manchester United, Mamelodi imebeba watu mbele ya miamba ya Soweto, Atletico ina watu mbele ya Barca na Real Madrid
Maana yangu ni nini kuhusiana na hii picha?
Maana yangu ni kuwa Yanga ina Mashabiki na Wanachama wengi nchini, ila haipo vizuri kwa miaka takribani minne sasa, hiki sio kitu kizuri sana kwa fanbase
Wengi walikuwa Yanga hivi sasa ni kutokana na historia yao, mataji yao na ubora wao miaka kadhaa nyuma, lakini hii haiwezi kuishi milele, Wazee wanaondoka na Vijana wa sasa wanazeeka, maana yake legacy itapotea
Nachojaribu kumaanishia ni nini?
Simply ni kuwa Simba anavuna Mashabiki kutokana na performance yake, kwenye Population Pyramid kuna uzaliaji mkubwa Tanzania (High fertility rate) kuna uwezekano 90% ya watoto wakawa Simba
Matokeo yao yanavutia kwa Watoto ambao ndio taifa la kesho, ubora wao unaiuza Simba kwenye nyoyo za watu, ukiachana na Ushabiki ni hii pia ina faida kubwa sana kiuchumi, Fanbase ina faida kiuchumi
Nakumbusha kitu gani?
Nakumbusha kuwa historia huzaliwa, historia hufa na kumbukumbu kuna muda zinapotea, tuweke mipango, timu zishinde mataji hiyo ndio safari pekee yenye mafanikio, PLANS! PLANS! PLANS!

Post a Comment