RAIS SAMIA AKISHUKURU KWA MAPOKEZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishukuru kwa mapokezi Mazuri kutoka kwa Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam katika Ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam mara baada ya Kuwasili leo tarehe 7 Mei, 2021 alipozungumza na Wazee hao.

No comments