NA GEORGE AMBANGILE "MAN CITY 0 - 1 CHELSEA
Washambuliaji wanafunga magoli lakini mabeki wanatwaa taji , hakuna sifa ambayo ya zaidi unaweza kuwapa Chelsea wachezaji wote jinsi walivyojitoa kuzuia tena kwa muundo sahihi , bila kuharibu Plan yao, bila kuchoka , kwa nidhamu ya hali ya juu sana . Hii ndio sana ya uzuiaji katika ubora wake
Tuchel alimpa Guardiola chakula kipya, mara nyingi Chelsea wakiwa wanataka kuishinda press ya timu pinzani wanatumia shape ya 3-2 mabeki watatu wa nyuma na viungo wawili wa kati , lakini leo Tuchel alitumia mawingback wake kuishinda press ya City. Kivipi ???
James na Chilwell wanatanua sana uwanja, Kante anamkimbia Jorginho kusogea juu maana yake anamchukua kiungo mshambuliaji mmoja wa City , kwahiyo mabeki wa kati wa Chelsea wakipiga pasi kwa mawingback wao inafunguka njia katikati ya uwanja ambayo imejengwa na movement ya Kante kwenda mbele na pasi za Chilwell na James zinaenda kwa namba 10 wawili Mount na Havertz na hapo Chelsea wanakuwa in Business .!!!!
Pep alicheza kamari kuanza bila kiungo mzuiaji ili kuwa na wachezaji takribani watano ambao wanaweza kukaa na mpira na kuishinda press ya Chelsea . Kuanza na KDB, Foden, Mahrez, Silva na Sterling ni wachezaji ambao wanapenda kushambulia pembeni kwa kutengeneza idadi kubwa ya wachezaji ( Overloads ) na ndio njia alijua itafungua mabeki watatu wa Chelsea nyuma

GAME MANAGEMENT: kongole kwa Tuchel kipindi cha pili hakutaka tena kuwa press City bali alizuia na idadi kubwa ya wachezaji na kuwasubiri City kwenye counter attacks ambapo nusura afunge goli la pili .
NOTE :
1: Reece James alimficha kabisa Sterling . Good play
2: KANTENHO kama kawaida yake hana kazi mbaya kabisa . World class
3: Tuchel kapiga hat trick kwa Pep Guardiola
4: Pride of London : LONDON IS BLUE

Post a Comment