MIAKA 5 TANGU HARAMBE AFARIKI

Siku hii ya leo ni miaka mitano iliyopita tangu mvulana wa miaka mitatu alipanda kwenye zizi la gorilla huko Cincinnati Zoo, Ohio, na akakamatwa na kuburutwa na Harambe, gorilla wa miaka 17.

Mmoja wa  wafanyakazi alieguswa na tukio hilo wa mbuga za wanyama alimpiga risasi na kumuua Harambe, tukio hilo lilirekodiwa kwenye video.

Baada ya tukio hilo, Harambe alileta mitazamo mingi katika mitandao ya kijamii.

No comments