KIWANDA CHA SHELL KUPUNGUZA UZALISHAJI WAKE CO2 KWA 45%
#UNAAMBIWA Nchini Marekani Huu unaweza kuwa ushindi mkubwa katika vita ya mabadiliko ya hali ya hewa na ni mara ya kwanza kwa shirika la kimataifa kuwajibika kwa kuchangia hali ya joto duniani.
Mahakama ilisema kwamba kiwanda cha Mafuta cha Shell hakikukiuka wajibu wake wa kupunguza uzalishaji wa kaboni, lakini kwamba kulikuwa na "ukiukaji wa karibu".
Shell sasa imeamriwa kupunguza uzalishaji wake wa CO2 kwa 45% ifikapo mwaka 2030, lakini inapanga kukata rufaa kuhusu uamuzi huo
Post a Comment