MANARA ALIWAALIKA WAFANYAKAZI WENZIE JANA

MANARA;
Jana nilibahatika kuwaalika Wafanyakazi wenzangu wa klabu ya Simba wakiongozwa na CEO wetu Babra @bvrbvra pamoja na baadhi ya viongozi wetu chini ya Mwenyekiti wetu Murtaza @mangungu3 ,kwenye ftari nyumbani kwangu Mikocheni hapa jijini.

Sambamba nao pia nilialika baadhi ya Waandishi wa habari,Rafiki zangu ambao waliungana nami kwenye ibada hyo ftari!!

Kiukweli jumuiko hili lilinipa faraja na niwashukuru wote waliohudhuria,,kwao niseme Asanteni kwa kuja.

No comments