FAUSTINE NDUGULILE AKIFAFANUA JAMBO KWA WAJUMBE
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) kuhusu huduma za mawasiliano na intaneti Bungeni, Dodoma. Aliyeketi katikati ni Dkt. Zainab Chaula, Katibu Mkuu na anayesikiliza ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Jim Yonazi wa Wizara hiyo.
Post a Comment