BW. GABRIEL AWATAKA TAA KUTUMIA RASILIMALI ZILIZOPO
Katibu Mkuu uchukuzi Bw, Gabriel Migire amewataka TAA kuhakikisha wanatumia rasilimali zilizopo vizuri kulingana na sheria , miongozo na taratibu zilizopo ili kuondoa hoja za ukaguzi.
Amesema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa 26 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Dk. Leonard Chamuriho katika ukumbi uliopo katika jengo la PSSSF Jijini Dar Es- Salaam hapo jana.

Post a Comment