(ATCL) YAZINDUA SAFARI ZA DAR-GUANGZHOU

Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imezindua safari za ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou nchini China. Safari hiyo ambayo itatumia muda wa saa 11, inakuwa safari pekee ya moja kwa moja kutoka Dar es Salaam Tanzania kwenda Guangzhou nchini China

No comments