AGIZO LA LEO NA TAMISEMI 10/05/2021
WATUMISHI WOTE WALIOOMBA UHAMISHO MNAJULISHWA KUWA MAJINA YALIYOTOKA KATIKA ORODHA YA WATUMISHI WALIOHAMISHWA NI BAADHI TU YA WAOMBAJI WOTE.
VIBALI VINGINE VYA UHAMISHO VINAENDELEA KUSHUGHULIKIWA HIVYO AMBAO HAWAJAONA MAJINA YAO KATIKA ORODHA YA AWALI MNAPASWA KUTULIA KATIKA VITUO VYENU VYA KAZI.
OFISI INAENDELEA KUSHUGHULIKIA VIBALI VYOTE VYA UHAMISHO VILIVYOWASILISHWA NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA.
MAJINA YA WALIOPATA UHAMISHO YATAENDELEA KUTOLEWA KWENYE TOVUTI YA OFISI YA RAIS TAMISEMI NA BARUA MTAZIPOKEA KUTOKA KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZENU.
WATUMISHI WOTE WALIOOMBA UHAMISHO MNASISITIZWA KUBAKI KWENYE VITUO VYENU WAKATI MAOMBI YENU YANASHUGHULIKIWA.
Post a Comment