Advertisement

Responsive Advertisement

KARIM BENZEMA NDANI YA LALIGA

KARIM BENZEMA🔥🔥 NDANI YA LALIGA

🏟Michezo 28
⚽Magoli 21
🎯Assists 7

●Mpaka sasa Benzema amehusika katika upatikanaji wa magoli 28 kwenye Laliga msimu huu

●Hakuna Mchezaji yeyote wa Real Madrid aliyetoa Assist nyingi katika karne ya 21 kwenye Laliga kumzidi Benzema, Ametoa Assist 88

Siku ya Jana aliisaidia timu take kushinda mabao 3-1 dhidi ya Cadiz ambapo Benzema aliweka kambani mabao mawili (2) goli lingine likifungwa na Ordiozola

sheikh karim is unstoppable⚽⚽

Post a Comment

0 Comments