Luc Eymael (60) I amewaomba radhi
mashabiki na wapenzi wa Yanga kwa
sauti yake anayodai ilitasfiriwa vibaya.
Luc amesema sauti hiyo ilieditiwa na mtu
aliyefanya nae mazungumzo binafsi.
Amesisitiza asamehewe na yeyote yule
aliyeumizwa na kauli zile zilizoeditiwa
0 Comments