HERRY MZOZO: YANGA KAMA MNAMTAKA MOHAMED HUSSEIN LETENI MILIONI 100 ADA YA USAJIRI NA PIA MUWE TAYARI KULIPA MSHAHARA WA MILIONI 10
Meneja wa Nahodha na Beki wa Kushoto wa Klabu ya Simba,Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' aitwae Herry Mzozo amesema Kama Klabu ya Yanga itakuwa inamhitaji Mteja wake,Tshabalala wanatakiwa kutoa kiasi cha shillingi milioni 100 Kama ada ya Usajili wa Mwaka Mmoja pamoja na mshahara wa shillingi milioni 10 kwa mwezi.
"Yanga hawajanifuata kuhitaji saini ya Tshabalala ila Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs ndio wameleta ofa yao na Mshahara wa Milioni 23.
"Yanga kama watamuhitaji walete milioni 100 kwa mwaka mmoja na mshahara wa mil 10."
Alisema Herry Mzozo
Post a Comment