CEO BARBARA: KUNA TIMU ZIMEJITOKEZA ZIKIWA NA NIA YA KUMSAJIRI TSHABALALA NA TAYARI MKATABA WAKE UNAISHA MWISHONI MWA MSIMU HUU, ILA TSHABALALA BADO NI MCHEZAJI WETU HAWEZI KWENDA POPOTE

"Tunajua wazi kuwa beki na nahodha wetu Tshabalala mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu na tayari zipo timu ambazo zinavutiwa kumsajili, lakini niweke wazi kuwa huyo bado ni mchezaji wetu kwa kuwa ana mkataba na Simba, lakini uongozi una matarajio makubwa ya kumpa mkataba mpya ili aendelee kuitumikia klabu yetu," - Barbara Gonzalez
Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Simba

No comments